Matthew 15:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu aliuita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni, mkaelewe!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akaita umati wa watu waliokuwa hapo, akawaambia, “Sikilizeni na mwelewe:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaita makutano akawaambia
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akawaita watu. Akasema, “Sikieni na mwelewe nitakachosema.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu aliuita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni na muelewe!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu aliuita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni, mkaelewe!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akaita ule umati wa watu akawaambia, “Sikilizeni na muelewe:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akaita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni na mwelewe:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaita makutano akawaambia
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu aliuita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni, mkaelewe!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaliita kundi la watu, akawaambia: Sikilizeni, mjue maana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaita makutano akawaambia
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Yesu akaita kundi la watu na kuwaambia: “Musikilize na kuelewa maneno nitakayowaambia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawaita makutano akawaambia, Sikieni, mfahamu: