Matthew 15:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini yeye akawajibu, “Kila mmea ambao Baba yangu aliye mbinguni hakupanda, utangolewa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawajibu, “Kila mmea ambao Baba yangu wa mbinguni hakuupanda utang’olewa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akajibu, “Kila mti ambao haukupandwa na Baba yangu wa mbinguni utang'olewa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini yeye akawajibu, “Kila mmea ambao Baba yangu aliye mbinguni hakuupanda, utang'olewa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini yeye akawajibu, “Kila mmea ambao Baba yangu aliye mbinguni hakupanda, utang'olewa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawajibu, “Kila pando ambalo Baba yangu wa mbinguni hakulipanda, litang'olewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawajibu, “Kila pando ambalo Baba yangu wa mbinguni hakulipanda, litang’olewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini yeye akawajibu, “Kila mmea ambao Baba yangu aliye mbinguni hakupanda, utangolewa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akajibu akisema: Kila mmea, asioupanda Baba yangu wa mbinguni, utang'olewa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang’olewa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akajibu: “Wao ni kama mumea usiopandwa na Baba yangu wa mbinguni, utakaopaswa kuongolewa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akajibu, akasema, Killa pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni, litangʼolewa.