Matthew 15:17 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, hamwelewi kwamba kila kinachoingia kinywani huenda tumboni na baadaye hutolewa nje chooni?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, hamwelewi kwamba chochote kiingiacho kinywani huenda tumboni, na hatimaye hutolewa nje kikiwa uchafu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hamjafahamu bado ya kuwa kila kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hakika mnajua kuwa vyakula vyote vinavyoingia kinywani huenda tumboni. Kutoka huko hutoka nje ya mwili.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, hamwelewi kwamba kila kinachoingia kinywani huenda tumboni na baadaye hutupwa nje chooni?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, hamwelewi kwamba kila kinachoingia kinywani huenda tumboni na baadaye hutolewa nje chooni?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, hamuelewi kwamba cho chote kiingiacho kinywani huenda tumboni na hatimaye hutolewa nje kikiwa uchafu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, hamwelewi kwamba chochote kiingiacho kinywani huenda tumboni, na hatimaye hutolewa nje kikiwa uchafu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hamjafahamu bado ya kuwa kila kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, hamwelewi kwamba kila kinachoingia kinywani huenda tumboni na baadaye hutolewa nje chooni?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hamjui, kila kitu kinachoingia kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hamjafahamu bado ya kuwa kila kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hamwelewi kwamba kila kitu kinachoingia ndani ya kinywa, kinapita ndani ya tumbo na kisha kinatoka na kwenda katika choo?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hamjafahamu bado ya kuwa killa kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni?