Matthew 15:20 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hayo ndiyo yanayomtia mtu unajisi. Lakini kula chakula bila kunawa mikono hakumtii mtu unajisi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya ndio yamtiayo mtu unajisi; lakini kula bila kunawa mikono hakumtii mtu unajisi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hayo ndiyo yamtiayo mtu unajisi; lakini kula kabla hajanawa mikono hakumtii mtu unajisi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Haya ndiyo mambo yanayowatia watu unajisi. Kula bila kunawa mikono hakuwezi kuwafanya watu wasikubaliwe na Mungu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hayo ndiyo yanayomtia mtu najisi. Lakini kula chakula bila kunawa mikono hakumtii mtu najisi.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hayo ndiyo yanayomtia mtu unajisi. Lakini kula chakula bila kunawa mikono hakumtii mtu unajisi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya ndiyo yamtiayo mtu unajisi, lakini kula bila kunawa mikono hakumtii mtu unajisi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya ndiyo yamtiayo mtu unajisi; lakini kula bila kunawa mikono hakumtii mtu unajisi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hayo ndiyo yamtiayo mtu unajisi; lakini kula kabla hajanawa mikono hakumtii mtu unajisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hayo ndiyo yanayomtia mtu unajisi. Lakini kula chakula bila kunawa mikono hakumtii mtu unajisi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya ndiyo yanayomtia mtu uchafu; lakini kula na mikono isiyonawiwa hakumtii mtu uchafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hayo ndiyo yamtiayo mtu unajisi; lakini kula kabla hajanawa mikono hakumtii mtu unajisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mambo haya ndiyo yanayomuchafua mutu! Lakini kula pasipo kunawa mikono hakuwezi kumuchafua mutu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
hayo ndiyo yamtiayo najis mwana Adamu; lakini kula kabla hajanawa mikono hakumtii mwana Adamu najis.