Matthew 15:26 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akamjibu, “Si vizuri kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akajibu, “Si haki kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Akamjibu kwa kumwambia, “Si sahihi kuwapa mbwa mkate wa watoto.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akamjibu, “Si sawa kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akamjibu, “Si vizuri kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akajibu, “Si haki kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akajibu, “Si haki kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akamjibu, “Si vizuri kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akajibu akisema: Haifai kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia vijibwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akamujibu: “Si vizuri kukamata chakula cha watoto na kukitupia imbwa.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akajibu akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.