Matthew 15:37 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote wakala, wakashiba. Kisha wakakusanya mabaki, wakajaza vikapu saba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote wakala na kushiba. Baadaye wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu saba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakala wote wakashiba; wakayaokota masazo ya vipande vya mikate makanda saba, yamejaa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wote walikula mpaka wakashiba. Baada ya hili, wafuasi walijaza vikapu saba kwa vipande vya chakula vilivyosalia ambavyo havikuliwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wote wakala, wakashiba. Kisha wakakusanya makombo, wakajaza vikapu saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote wakala, wakashiba. Kisha wakakusanya mabaki, wakajaza vikapu saba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote wakala na kushiba. Baadaye wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu saba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote wakala na kushiba. Baadaye wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu saba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakala wote wakashiba; wakayaokota mabaki ya vipande vya mikate makanda saba, yamejaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote wakala, wakashiba. Kisha wakakusanya mabaki, wakajaza vikapu saba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wote wakala, wakashiba; kisha wakayaokota makombo ya mikate yaliyosalia, wakajaza makanda saba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakala wote wakashiba; wakayaokota masazo ya vipande vya mikate makanda saba, yamejaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote wakakula na wakashiba. Kisha wanafunzi wakaokota vipande vilivyobaki, wakajaza vitunga saba.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakala wote wakashiba: wakayaokota masazo ya vipande vya mikate, makanda saba, yamejaa.