Matthew 15:38 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao waliokula walikuwa wanaume 4,000, bila kuhesabu wanawake na watoto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Idadi ya watu walikuwa wanaume elfu nne, bila kuhesabu wanawake na watoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao waliokula walikuwa wanaume elfu nne, bila wanawake na watoto.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walikuwepo wanaume 4,000 pale waliokula. Walikuwepo pia wanawake na watoto.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hao waliokula walikuwa wanaume elfu nne, bila kuhesabu wanawake na watoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao waliokula walikuwa wanaume 4,000, bila kuhesabu wanawake na watoto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Idadi ya watu walikuwa wanaume 4,000, bila kuhesabu wanawake na watoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Idadi ya watu walikuwa wanaume 4,000 bila kuhesabu wanawake na watoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao waliokula walikuwa wanaume elfu nne, bila kuhesabu wanawake na watoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao waliokula walikuwa wanaume 4,000, bila kuhesabu wanawake na watoto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waliokula walikuwa waume tu 4000 pasipo wanawake na watoto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao waliokula walikuwa wanaume elfu nne, bila wanawake na watoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu waliokula walikuwa wanaume elfu ine, pasipo kuhesabu wanawake na watoto.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nao waliokula walikuwa wanaume elfu nne, bila wanawake na watoto.