Matthew 15:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi wanafiki! Isaya alitabiri sawa kabisa juu yenu:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninyi wanafiki! Isaya alikuwa sawa alipotabiri juu yenu kwamba:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi wanafiki, ni vema alivyotabiri Isaya kwa habari zenu, akisema,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Enyi wanafiki! Isaya alikuwa sahihi alipozungumza kwa niaba ya Mungu kuhusu ninyi aliposema:
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Enyi wanafiki! Isaya alitabiri sawa kabisa juu yenu:
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi wanafiki! Isaya alitabiri sawa kabisa juu yenu:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninyi wanafiki! Isaya alikuwa sawa alipotabiri juu yenu kwamba:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninyi wanafiki! Isaya alikuwa sawa alipotabiri juu yenu kwamba:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi wanafiki, ni vema alivyotabiri Isaya kwa habari zenu, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi wanafiki! Isaya alitabiri sawa kabisa juu yenu:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Enyi wajanja, Yesaya aliwafumbua vizuri hayo mambo yenu aliposema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi wanafiki, ni vema alivyotabiri Isaya kwa habari zenu, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi wanafiki! Isaya alitabiri vema juu yenu, wakati aliposema maneno haya:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Enyi wanafiki, ni vyema alivyotabiri Isaya katika khabari zenu, akinena,