Matthew 15:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
‘Mungu asema: Watu hawa huniheshimu kwa maneno tu, lakini mioyoni mwao wako mbali nami.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
‘Watu hawa wananiheshimu kwa maneno tu, lakini mimi si wa muhimu kwao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu hawa, asema Mungu, huniheshimu kwa maneno tu, lakini mioyoni mwao wako mbali nami.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
‘Mungu asema: Watu hawa huniheshimu kwa maneno tu, lakini mioyoni mwao wako mbali nami.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
‘Mungu asema: Watu hawa huniheshimu kwa maneno tu, lakini mioyoni mwao wako mbali nami.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukoo huu huniheshimu kwa midomo tu, lakini mioyo yao inanikalia mbali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
‘Watu hawa wananiheshimu kwa midomo yao. Lakini mioyo yao ni mbali nami.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Watu hawa hunikaribia kwa vinywa vyao, Na kwa midomo yao huniheshimu; Bali mioyo yao iko mbali yangu.