Matthew 16:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Au, ile mikate saba waliyogawiwa wale watu 4,000, je, mlikusanya vikapu vingapi vya mabaki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Au ile mikate saba kwa watu elfu nne na idadi ya vikapu vilivyojaa mabaki mlivyokusanya?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala ile mikate saba kwa watu elfu nne, na makanda mangapi mliyoyaokota?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na mnakumbuka mikate saba waliyokula watu 4,000 na vikapu vingi mlivyojaza wakati ule?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Au, ile mikate saba waliyogawiwa wale watu elfu nne, je, mlikusanya vikapu vingapi vya mabaki?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Au, ile mikate saba waliyogawiwa wale watu 4,000, je, mlikusanya vikapu vingapi vya mabaki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Au ile mikate saba iliyolisha watu 4,000 na ni idadi ya vikapu vingapi vya mabaki mlivyokusanya?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Au ile mikate saba iliyolisha watu 4,000 na idadi ya vikapu vingapi vya mabaki mlivyokusanya?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala ile mikate saba kwa watu elfu nne, na makanda mangapi mliyoyaokota?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Au, ile mikate saba waliyogawiwa wale watu 4,000, je, mlikusanya vikapu vingapi vya mabaki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wala hamwikumbuki ile mikate saba ya wale 4000 na makanda, mliyoyachukua, kama ni mangapi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala ile mikate saba kwa watu elfu nne, na makanda mangapi mliyoyaokota?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hamukumbuki vilevile ile mikate saba niliyoshibisha nayo watu elfu ine, na ile hesabu ya vitunga mulivyojaza?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wala ile mikate saba kwa wale elfu nne, na makanda mangapi mliyookota?