Matthew 16:15 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akawauliza, “Na nyinyi je, mnasema mimi ni nani?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawauliza, “Je, ninyi mnasema mimi ni nani?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha Yesu akawauliza, “Na ninyi mnasema mimi ni nani?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akawauliza, “Na ninyi je, mwasema mimi ni nani?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akawauliza, “Na nyinyi je, mnasema mimi ni nani?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawauliza, “Je, ninyi, mnasema mimi ni nani?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawauliza, “Je, ninyi mnasema mimi ni nani?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akawauliza, “Na nyinyi je, mnasema mimi ni nani?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesu akawauliza: Lakini ninyi mnanisema kuwa ni nani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Yesu akawauliza: “Na ninyi munasema kwamba mimi ni nani?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawaambia, Na ninyi mwaninena mimi kuwa nani?