Matthew 16:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanafunzi wake walipokwisha vukia upande wa pili wa ziwa, walijikuta wamesahau kuchukua mikate.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanafunzi wake walipofika ng’ambo ya bahari, walikuwa wamesahau kuchukua mikate.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wanafunzi wakaenda hata ng'ambo, wakasahau kuchukua mikate.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu na wafuasi wake wakasafiri kwa kukatisha ziwa. Lakini wafuasi wakasahau kubeba mikate.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wanafunzi wake walipokwisha vukia upande wa pili wa ziwa, walijikuta wamesahau kuchukua mikate.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanafunzi wake walipokwisha vukia upande wa pili wa ziwa, walijikuta wamesahau kuchukua mikate.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanafunzi wake walipofika ng'ambo ya pili ya bahari, walikuwa wamesahau kuchukua mikate.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanafunzi wake walipofika ng’ambo ya bahari, walikuwa wamesahau kuchukua mikate.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wanafunzi wakaenda hadi ng'ambo, wakasahau kuchukua mikate.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanafunzi wake walipokwisha vukia upande wa pili wa ziwa, walijikuta wamesahau kuchukua mikate.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanafunzi walipofika ng'ambo walikuwa wamesahau kuchukua mikate.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wanafunzi wakaenda hata ng’ambo, wakasahau kuchukua mikate.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati wanafunzi walipovuka ziwa kwenda ngambo ingine, walikuwa wamesahau kupeleka mikate.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wanafunzi wake wakaenda hatta ngʼambu, wakasahau kuchukua mikate.