Matthew 16:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, hamjaelewa bado? Je, hamkumbuki nilipoimega ile mikate mitano kwa ajili ya wale watu 5,000? Je, mlijaza vikapu vingapi vya mabaki?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, bado hamwelewi? Je, hamkumbuki ile mikate mitano kwa watu elfu tano, na idadi ya vikapu vilivyojaa mabaki mlivyokusanya?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hamjafahamu bado, wala hamkumbuki ile mikate mitano kwa wale elfu tano, na vikapu vingapi mlivyoviokota?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Bado hamwelewi? Mnakumbuka mikate mitano waliyokula watu 5,000 na vikapu vingi mlivyojaza mikate iliyosalia?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, hamjaelewa bado? Je, hamkumbuki nilipoimega ile mikate mitano kwa ajili ya wale watu elfu tano? Je, mlijaza vikapu vingapi vya makombo?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, hamjaelewa bado? Je, hamkumbuki nilipoimega ile mikate mitano kwa ajili ya wale watu 5,000? Je, mlijaza vikapu vingapi vya mabaki?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, bado tu hamwelewi? Je, hamkumbuki ile mikate mitano iliyolisha watu 5,000 na ni idadi ya vikapu vingapi vya mabaki mlivyokusanya?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, bado hamwelewi? Je, hamkumbuki ile mikate mitano iliyolisha watu 5,000 na idadi ya vikapu vingapi vya mabaki mlivyokusanya?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hamjafahamu bado, wala hamkumbuki ile mikate mitano kwa wale watu elfu tano, na vikapu vingapi mlivyoviokota?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, hamjaelewa bado? Je, hamkumbuki nilipoimega ile mikate mitano kwa ajili ya wale watu 5,000? Je, mlijaza vikapu vingapi vya mabaki?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hamjaerevuka bado? Wala hamwikumbuki mikate ile mitano ya wale 5000 na makapu, mliyoyachukua, kama ni mangapi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hamjafahamu bado, wala hamkumbuki ile mikate mitano kwa wale elfu tano, na vikapu vingapi mlivyoviokota?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hamujaelewa bado? Hamukumbuki ile mikate mitano niliyoshibisha nayo watu elfu tano, nayo ile hesabu ya vitunga mulivyojaza?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hamjafahamu hado, wala hamkumbuki ile mikate mitano kwa wale elfu tano, na vikapu vingapi mlivyookota?