Matthew 17:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akawajibu, “Kweli, Elia atakuja kutayarisha mambo yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akawajibu, “Ni kweli, Ilya lazima aje kwanza, naye atatengeneza mambo yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akajibu, akawaambia, Kweli Eliya yuaja kwanza, naye atatengeneza yote,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akajibu, “Wako sahihi kusema ni lazima Eliya aje, na ni kweli kuwa Eliya ataweka mambo yote kama yanavyopaswa kuwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akawajibu, “Kweli, Eliya atakuja kutayarisha mambo yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akawajibu, “Kweli, Elia atakuja kutayarisha mambo yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akawajibu, “Ni kweli, Eliya lazima aje kwanza naye atatengeneza mambo yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akawajibu, “Ni kweli, Ilya lazima aje kwanza, naye atatengeneza mambo yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akajibu, akawaambia, Kweli Eliya yuaja kwanza, naye atatengeneza yote,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akawajibu, “Kweli, Elia atakuja kutayarisha mambo yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akajibu akisema: Kweli Elia anakuja, vyote avigeuze kuwa vipya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akajibu, akawaambia, Kweli Eliya yuaja kwanza, naye atatengeneza yote,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akawajibu: “Hakika Elia anapaswa kurudi kwanza kutengeneza mambo yote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yesu akajibu, akawaambia, Kweli Eliya yuaja kwanza, nae atatengeneza yote;