Matthew 17:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo hao wanafunzi wakafahamu kwamba alikuwa akiwaambia juu ya Yohane Mbatizaji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo wale wanafunzi wakaelewa kuwa alikuwa anazungumza nao habari za Yahya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo wale wanafunzi walipofahamu ya kuwa amesema nao habari za Yohana Mbatizaji.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndipo wafuasi wakaelewa kuwa Yesu aliposema kuhusu Eliya, alikuwa anazungumza juu ya Yohana Mbatizaji.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo hao wanafunzi wakafahamu kwamba alikuwa akiwaambia juu ya Yohane mbatizaji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo hao wanafunzi wakafahamu kwamba alikuwa akiwaambia juu ya Yohane Mbatizaji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo wale wanafunzi wakaelewa kuwa alikuwa anazungumza nao habari za Yohana Mbatizaji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo wale wanafunzi wakaelewa kuwa alikuwa anazungumza nao habari za Yahya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo wale wanafunzi walipofahamu ya kuwa amesema nao habari za Yohana Mbatizaji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo hao wanafunzi wakafahamu kwamba alikuwa akiwaambia juu ya Yohane Mbatizaji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo ndipo wanafunzi walipojua, ya kuwa amewaambia mambo ya Yohana Mbatizaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo wale wanafunzi walipofahamu ya kuwa amesema nao habari za Yohana Mbatizaji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu wanafunzi wakafahamu kwamba alisema nao juu ya Yoane Mubatizaji.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ndipo wakafahamu wale wanafunzi ya kuwa amesema nao khabari za Yohana Mbatizaji.