Matthew 17:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipoufikia tena ule umati wa watu, mtu mmoja alimwendea Yesu, akampigia magoti,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipofika penye umati wa watu, mtu mmoja akamjia Isa na kupiga magoti mbele yake, akasema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao walipoufikia mkutano, mtu mmoja akamjia, akampigia magoti, akisema,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu na wafuasi walirudi kwa watu. Mtu mmoja akamjia Yesu na kuinama mbele zake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Walipojiunga tena na ule umati wa watu, mtu mmoja alimwendea Yesu, akampigia magoti,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipoufikia tena ule umati wa watu, mtu mmoja alimwendea Yesu, akampigia magoti,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipofika penye umati wa watu, mtu mmoja akamjia Yesu na kupiga magoti mbele yake, akasema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipofika penye umati wa watu, mtu mmoja akamjia Isa na kupiga magoti mbele yake, akasema,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao walipoufikia mkutano, mtu mmoja akamjia, akampigia magoti, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipoufikia tena ule umati wa watu, mtu mmoja alimwendea Yesu, akampigia magoti,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipofika penye kundi la watu, mtu akamjia, akampigia magoti, akasema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao walipoufikia mkutano, mtu mmoja akamjia, akampigia magoti, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu na wanafunzi wake waliendelea hata wakafika kwenye kundi la watu. Pale mutu mumoja akamwendea Yesu, akapiga magoti mbele yake,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nao walipoufikia mkutano, mtu akamjia, akampigia magoti, akinena,