Matthew 17:21 — Compare Translations
12 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pepo wa namna hii hawezi kuondolewa ila kwa sala na kufunga.”]
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hali kama hii haitoki ila kwa kuomba na kufunga.] ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
[Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga.]
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Pepo wa namna hii hawezi kuondolewa ila kwa sala na kufunga.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini hali kama hii haitoki ila kwa kuomba na kufunga.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini hali kama hii haitoki ila kwa kuomba na kufunga.]”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga.]
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pepo wa namna hii hawezi kuondolewa ila kwa sala na kufunga.”]
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kabila hili la pepo halitoki isipokuwa kwa nguvu ya kuomba na ya kufunga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
[Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga.]
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini pepo wa namna hii hawawezi kufukuzwa isipokuwa tu kwa njia ya maombi na kufunga kula chakula.]”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini namna hii haitoki illa kwa kusali na kufunga.