Matthew 17:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose na Elia wakawatokea, wakawa wanazungumza naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ghafula wakawatokea mbele yao Musa na Ilya, wakizungumza na Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tazama, wakatokewa na Musa na Eliya, wakizungumza naye.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndipo wanaume wawili waliozungumza naye wakaonekana wakiwa pamoja naye. Walikuwa Musa na Eliya.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mose na Eliya wakawatokea, wakawa wanazungumza naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose na Elia wakawatokea, wakawa wanazungumza naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ghafula wakawatokea mbele yao Mose na Eliya, wakizungumza na Yesu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ghafula wakawatokea mbele yao Musa na Ilya, wakizungumza na Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na tazama, wakatokewa na Musa na Eliya, wakizungumza naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose na Elia wakawatokea, wakawa wanazungumza naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipotazama, wametokewa na Mose na Elia, wanaongea na Yesu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tazama, wakatokewa na Musa na Eliya, wakizungumza naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Musa na Elia wakiwa wakisemezana na Yesu, wakawatokea wale wanafunzi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakawatokea Musa na Eliya, wakizumgumza nae.