Matthew 18:1 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati ule wanafunzi walimwendea Yesu, wakamwuliza, “Ni nani aliye mkubwa zaidi katika ufalme wa mbinguni?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo, wanafunzi wakamjia Isa na kumuuliza, “Je, nani aliye mkuu kuliko wote katika ufalme wa mbinguni?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Saa ile wanafunzi wakamwendea Yesu wakisema,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakati huo huo wanafunzi wake wakamjia Yesu na kuuliza, “Nani ni mkuu zaidi katika ufalme wa Mungu?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakati ule wanafunzi walimwendea Yesu, wakamwuliza, “Ni nani aliye mkuu katika Ufalme wa mbinguni?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati ule wanafunzi walimwendea Yesu, wakamwuliza, “Ni nani aliye mkubwa zaidi katika ufalme wa mbinguni?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo, wanafunzi wakamjia Yesu na kumwuliza “Je, nani aliye mkuu kuliko wote katika Ufalme wa Mbinguni?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo, wanafunzi wakamjia Isa na kumuuliza, “Je, nani aliye mkuu kuliko wote katika Ufalme wa Mbinguni?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Saa ile wanafunzi wakamwendea Yesu wakisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati ule wanafunzi walimwendea Yesu, wakamwuliza, “Ni nani aliye mkubwa zaidi katika ufalme wa mbinguni?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Saa ile wanafunzi wakamjia Yesu, wakamwuliza wakisema: Aliye mkuu katika ufalme wa mbingu ni nani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Saa ile wanafunzi wakamwendea Yesu wakisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule wanafunzi wakamufikia Yesu, wakamwuliza: “Ni nani anayekuwa mukubwa katika Ufalme wa mbinguni?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
SAA ile wanafunzi wakamwendea Yesu wakinena, Ni nani bassi aliye mkuu kafika ufalme wa mbinguni?