Matthew 18:13 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akimpata, nawaambieni kweli, humfurahia huyo kuliko awafurahiavyo wale tisini na tisa ambao hawakupotea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye akishampata, amin, nawaambia, hufurahi zaidi kwa ajili ya huyo kondoo mmoja kuliko wale tisini na tisa ambao hawakupotea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata akipata kumwona, amin, nawaambia, amfurahia huyo zaidi, kuliko wale tisa na tisini wasiopotea.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na akimpata kondoo aliyepotea, atafurahi kwa sababu ya kondoo huyo mmoja kuliko kondoo wengine 99 ambao hawakupotea. Ninaweza kuwathibitishia,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Akimpata, nawaambieni kweli, humfurahia huyo kuliko awafurahiavyo wale tisini na tisa ambao hawakupotea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akimpata, nawaambieni kweli, humfurahia huyo kuliko awafurahiavyo wale tisini na tisa ambao hawakupotea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye akisha mpata, amin, nawaambia, hufurahi zaidi kwa ajili ya huyo kondoo mmoja kuliko wale tisini na tisa ambao hawakupotea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye akishampata, amin, nawaambia, hufurahi zaidi kwa ajili ya huyo kondoo mmoja kuliko wale tisini na tisa ambao hawakupotea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata akipata kumwona, amin, nawaambia, amfurahia huyo zaidi, kuliko wale tisini na tisa wasiopotea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akimpata, nawaambieni kweli, humfurahia huyo kuliko awafurahiavyo wale tisini na tisa ambao hawakupotea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akipata kumwona, kweli nawaambiani: Atamfurahia kuliko wale tisini na tisa wasiopotea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata akipata kumwona, amin, nawaambia, amfurahia huyo zaidi, kuliko wale tisa na tisini wasiopotea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kama akimupata yule kondoo, kweli ninawaambia, anamufurahia kuliko wale makumi tisa na tisa waliobaki bila kupotea.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta akipata kumwona, amin nawaambieni, amfurahia huyu zaidi, kuliko wale tissa na tissaini wasiopotea.