Matthew 18:3 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kisha akasema, “Nawaambieni kweli, msipogeuka na kuwa kama watoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye akasema: “Amin, nawaambia, msipoongoka na kuwa kama watoto wadogo, kamwe hamtaingia katika ufalme wa mbinguni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akasema, Amin, nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama vitoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha akasema, “Ukweli ni huu, ni lazima mbadilike katika namna mnavyofikiri na muwe kama mtoto mdogo. Msipofanya hivi hamtaingia katika ufalme wa Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
kisha akasema, “Nawaambieni kweli, msipogeuka na kuwa kama watoto, hamtaingia kamwe katika Ufalme wa mbinguni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kisha akasema, “Nawaambieni kweli, msipogeuka na kuwa kama watoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye akasema: “Amin, nawaambia, msipoongoka na kuwa kama watoto wadogo, kamwe hamtaingia katika Ufalme wa Mbinguni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye akasema: “Amin, nawaambia, msipookoka na kuwa kama watoto wadogo, kamwe hamtaingia katika Ufalme wa Mbinguni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akasema, Amin, nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama watoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kisha akasema, “Nawaambieni kweli, msipogeuka na kuwa kama watoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akasema: Kweli nawaambiani: Msipogeuka, mkawa kama vitoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbingu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akasema, Amin, nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama vitoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kusema: “Kweli ninawaambia: kama musipogeuka na kuwa sawasawa na mutoto mudogo, hamutaingia katika Ufalme wa mbinguni hata kidogo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akasema, Amin, nawaambieni, Msipoongoka na kuwa kama vitoto, hamtaingia kabisa katika ufalme wa mbinguni.