Matthew 18:30 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini yeye hakutaka, bali alimtia gerezani mpaka hapo atakapolipa lile deni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini akakataa. Badala yake, alienda akamtupa gerezani hata atakapolipa hilo deni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hakutaka, akaenda, akamtupa kifungoni, hata atakapoilipa ile deni.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini mtumishi wa kwanza alikataa kumvumilia. Alimwambia hakimu kuwa alikuwa anamdai pesa, na mtumishi yule alitupwa gerezani mpaka atakapoweza kulipa deni lake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini yeye hakutaka, bali alimtia gerezani mpaka hapo atakapolipa lile deni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini yeye hakutaka, bali alimtia gerezani mpaka hapo atakapolipa lile deni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini akakataa. Badala yake, alienda akamtupa gerezani hata atakapolipa hilo deni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini akakataa. Badala yake, alienda akamtupa gerezani hata atakapolipa hilo deni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hakutaka, akaenda, akamtupa gerezani, hadi atakapoilipa ile deni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini yeye hakutaka, bali alimtia gerezani mpaka hapo atakapolipa lile deni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini yule hakutaka, akaenda, akamtia kifungoni, mpaka atakapolilipa lile deni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hakutaka, akaenda, akamtupa kifungoni, hata atakapoilipa ile deni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hakutaka, akamupeleka katika kifungo mpaka atakapolipa deni lile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae hakutaka, akaenda, akamtupa kifungoni, hatta atakapoilipa ile deni.