Matthew 18:32 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo yule bwana alimwita huyo mtumishi, akamwambia, ‘Wewe ni mtumishi mbaya sana! Uliniomba, nami nikakusamehe deni lako lote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Yule bwana akamwita yule mtumishi akamwambia, ‘Wewe mtumishi mwovu! Mimi nilikusamehe deni lako lote uliponisihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo bwana wake akamwita, akamwambia, Ewe mtumwa mwovu, nalikusamehe wewe deni ile yote, uliponisihi;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndipo mfalme alimwita msimamizi wa kwanza na kumwambia, ‘Wewe ni mbaya sana! Ulinisihi nikusamehe deni lako, na nilikuacha ukaondoka bila kulipa kitu chochote!
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo yule bwana alimwita huyo mtumishi, akamwambia, Wewe ni mtumishi mbaya sana! Uliniomba, nami nikakusamehe deni lako lote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo yule bwana alimwita huyo mtumishi, akamwambia, ‘Wewe ni mtumishi mbaya sana! Uliniomba, nami nikakusamehe deni lako lote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Yule bwana akamwita yule mtumishi akamwambia, ‘Wewe mtumishi mwovu! Mimi nilikusamehe deni lako lote uliponisihi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Yule bwana akamwita yule mtumishi akamwambia, ‘Wewe mtumishi mwovu! Mimi nilikusamehe deni lako lote uliponisihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo bwana wake akamwita, akamwambia, Ewe mtumwa mwovu, nilikusamehe wewe deni lile lote, uliponisihi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo yule bwana alimwita huyo mtumishi, akamwambia, ‘Wewe ni mtumishi mbaya sana! Uliniomba, nami nikakusamehe deni lako lote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, bwana wake alipomwita, akamwambia: Wee mtumwa mbaya, lile deni lote nalikuachilia, uliponibembeleza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo bwana wake akamwita, akamwambia, Ewe mtumwa mwovu, nalikusamehe wewe deni ile yote, uliponisihi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu yule bwana akamwita mutumishi yule na kumwambia: ‘Wewe ni mutumishi mubaya! Mimi nilikusamehe deni lako lote, kwa sababu ulinisihi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ndipo bwana wake akamwita, akamwambia, Ewe mtumishi mwovu, nalikusamehe deni ile yote, uliponisihi: