Matthew 18:34 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Basi, huyo bwana alikasirika sana, akamtoa huyo mtumishi aadhibiwe mpaka hapo atakapolipa deni lote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hasira, yule bwana wake akamtia yule mtumishi mikononi mwa askari wa gereza ili ateswe hadi atakapolipa yote aliyokuwa anadaiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana wake akaghadhibika, akampeleka kwa watesaji, hata atakapoilipa deni ile yote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mfalme alikasirika sana. Hivyo alifungwa gerezani mpaka atakapoweza kulipa kila kitu anachodaiwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Basi, huyo bwana alikasirika sana, akamtoa huyo mtumishi aadhibiwe mpaka hapo atakapolipa deni lote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Basi, huyo bwana alikasirika sana, akamtoa huyo mtumishi aadhibiwe mpaka hapo atakapolipa deni lote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hasira, yule bwana wake akamtia yule mtumishi mikononi mwa askari wa gereza ili ateswe mpaka atakapolipa yote aliyokuwa anadaiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hasira, yule bwana wake akamtia yule mtumishi mikononi mwa askari wa gereza ili ateswe mpaka atakapolipa yote aliyokuwa anadaiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bwana wake akaghadhibika, akampeleka kwa watesaji, hata atakapoilipa deni ile yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Basi, huyo bwana alikasirika sana, akamtoa huyo mtumishi aadhibiwe mpaka hapo atakapolipa deni lote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana wake akakasirika, akamtoa, afungwe, mpaka atakapolilipa deni lake lote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bwana wake akaghadhibika, akampeleka kwa watesaji, hata atakapoilipa deni ile yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi yule bwana akakasirika sana, akamutoa mutumishi yule aazibiwe mpaka atakapolipa lile deni lake.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bwana wake akaghadhabika, akampeleka kwa watesaji, hatta atakapoilipa deni ile yote.