Matthew 19:1 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu alipomaliza kusema maneno hayo, alitoka Galilaya, akaenda Yudea, ngambo ya mto Yordani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa alipomaliza kusema maneno haya, aliondoka Galilaya, akaenda sehemu za Yudea, ng’ambo ya Yordani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa Yesu alipomaliza maneno hayo, akatoka Galilaya akafika mipaka ya Uyahudi, ng'ambo ya Yordani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu alipomaliza kuzungumza haya yote, aliondoka Galilaya. Alikwenda maeneo ya Yuda ng'ambo ya Mto Yordani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu alipomaliza kusema maneno hayo, alitoka Galilaya, akaenda katika mkoa wa Yudea, ng'ambo ya mto Yordani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu alipomaliza kusema maneno hayo, alitoka Galilaya, akaenda Yudea, ng'ambo ya mto Yordani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu alipomaliza kusema maneno haya, aliondoka Galilaya, akaenda sehemu za Uyahudi, ng'ambo ya Mto Yordani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa alipomaliza kusema maneno haya, aliondoka Galilaya, akaenda sehemu za Uyahudi, ng’ambo ya Mto Yordani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa Yesu alipomaliza maneno hayo, akatoka Galilaya akafika katika eneo la Yudea, ng'ambo ya Yordani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu alipomaliza kusema maneno hayo, alitoka Galilaya, akaenda Yudea, ngambo ya mto Yordani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, Yesu alipoyamaliza maneno hayo, akaondoka Galilea, akaja mipakani kwa Yudea ng'ambo ya Yordani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa Yesu alipomaliza maneno hayo, akatoka Galilaya akafika mipaka ya Uyahudi, ng’ambo ya Yordani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu alipomaliza kusema maneno hayo akaondoka Galilaya. Akaenda katika jimbo la Yudea na kuvuka ngambo ya Yordani.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
IKAWA Yesu alipomaliza maneno haya, akatoka Galilaya akafika mipaka ya Yahudi, ngʼambu ya Yordani.