Matthew 19:2 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wengi walimfuata huko, naye akawaponya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umati mkubwa wa watu wakamfuata, naye akawaponya huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Makutano mengi wakamfuata, akawaponya huko.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wengi walimfuata na akaponya wagonjwa wengi huko.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu wengi walimfuata huko, naye akawaponya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wengi walimfuata huko, naye akawaponya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umati mkubwa wa watu ukamfuata, naye akawaponya huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umati mkubwa wa watu ukamfuata, naye akawaponya huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Makutano mengi wakamfuata, akawaponya huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wengi walimfuata huko, naye akawaponya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamfuata makundi mengi ya watu akawaponya huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Makutano mengi wakamfuata, akawaponya huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na makundi mengi ya watu wakamufuata, naye akawaponyesha wagonjwa kule.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Makutano mengi wakamfuata, akawaponya huko.