Matthew 19:25 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale wanafunzi waliposikia hivyo walishangaa sana, wakamwuliza, “Ni nani basi, awezaye kuokoka?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanafunzi wake waliposikia haya, walishangaa sana na kuuliza, “Ni nani basi awezaye kuokoka?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanafunzi waliposikia, walishangaa mno, wakisema, Ni nani basi awezaye kuokoka?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wafuasi waliposikia hili walishangaa. Wakauliza, “Sasa ni nani ataweza kuokolewa?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wale wanafunzi waliposikia hivyo walishangaa, wakamwuliza, “Ni nani basi, awezaye kuokoka?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale wanafunzi waliposikia hivyo walishangaa sana, wakamwuliza, “Ni nani basi, awezaye kuokoka?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanafunzi wake waliposikia haya, walishangaa sana na kuuliza, “Ni nani basi awezaye kuokoka?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanafunzi wake waliposikia haya, walishangaa sana na kuuliza, “Ni nani basi awezaye kuokoka?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanafunzi waliposikia, walishangaa mno, wakisema, Ni nani basi awezaye kuokoka?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale wanafunzi waliposikia hivyo walishangaa sana, wakamwuliza, “Ni nani basi, awezaye kuokoka?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanafunzi walipoyasikia wakastuka sana, wakasema: Ikiwa hivyo, yuko nani awezaye kuokoka?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanafunzi waliposikia, walishangaa mno, wakisema, Ni nani basi awezaye kuokoka?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanafunzi waliposikia maneno haya, wakashangaa sana na kuuliza: “Ni nani basi anayeweza kuokolewa?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wanafunzi wake waliposikia, wakashangaa sana, wakinena, Nani bassi awezae kuokoka?