Matthew 19:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na akasema: ‘Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye akasema, ‘Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, naye ataambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja’?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na Mungu alisema, ‘Hii ndiyo sababu mwanaume atawaacha baba na mama yake na kuungana na mke wake. Na hao watu wawili watakuwa mmoja.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na akasema: Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na akasema: ‘Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye akasema, ‘Kwa sababu hii mtu atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye akasema, ‘Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, naye ataambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja’?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na akasema: ‘Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu hii mtu atamwacha baba yake na mama yake, agandamiane na mkewe, nao hao wawili watakuwa mwili mmoja?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kisha akasema: ‘Kwa sababu hii, mutu atawaacha baba yake na mama yake na kuungana na muke wake, nao wawili watakuwa mwili mumoja.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akasema. Kwa sababu hii, mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe; na hawo wawili watakuwa mwili mmoja?