Matthew 2:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipoiona hiyo nyota, walifurahi mno.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipoiona ile nyota wakajawa na furaha kubwa mno.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao walipoiona ile nyota, walifurahi furaha kubwa mno.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wenye hekima walipoona kuwa nyota ile imesimama, walifurahi na kushangilia kwa furaha.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Walipoiona hiyo nyota, walifurahi mno.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipoiona hiyo nyota, walifurahi mno.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipoiona ile nyota wakajawa na furaha kubwa mno.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipoiona ile nyota wakajawa na furaha kubwa mno.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao walipoiona ile nyota, walifurahi furaha kubwa mno.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipoiona hiyo nyota, walifurahi mno.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoiona hiyo nyota wakafurahi furaha kubwa mno.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao walipoiona ile nyota, walifurahi furaha kubwa mno.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na wakati walipoiona wakafurahi sana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Walipoiona ile nyota, wakafurahi furaha kuliwa mno.