Matthew 2:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akahamia katika mji uitwao Nazareti. Ndivyo yalivyotimia maneno yaliyonenwa kwa njia ya manabii: “Ataitwa Mnazare.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akaenda kuishi katika mji ulioitwa Nasiri. Hivyo likawa limetimia neno lililonenwa na manabii waliposema, “Ataitwa Mnasiri.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akaenda, akakaa katika mji ulioitwa Nazareti; ili litimie neno lililonenwa na manabii, Ataitwa Mnazorayo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Alikwenda katika mji wa Nazareti na kukaa huko. Hii ilitokea ili kutimiza maneno yale yaliyosemwa na manabii. Mungu alisema Masihi angeitwa Mnazareti.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
akahamia katika mji uitwao Nazareti. Ndivyo yalivyotimia maneno yaliyonenwa kwa njia ya manabii: “Ataitwa Mnazare.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akahamia katika mji uitwao Nazareti. Ndivyo yalivyotimia maneno yaliyonenwa kwa njia ya manabii: “Ataitwa Mnazare.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akaenda akaishi katika mji ulioitwa Nazareti. Hivyo likawa limetimia lile neno lililonenwa na manabii, “Ataitwa Mnazarayo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akaenda akaishi katika mji ulioitwa Nasiri. Hivyo likawa limetimia neno lililonenwa na manabii, “Ataitwa Mnasiri.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akaenda, akakaa katika mji ulioitwa Nazareti; ili litimie neno lililonenwa na manabii, Ataitwa Mnazareti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akahamia katika mji uitwao Nazareti. Ndivyo yalivyotimia maneno yaliyonenwa kwa njia ya manabii: “Ataitwa Mnazare.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa hiyo akaja, akakaa mji uitwao Nasareti, lipate kutimia lililosemwa na wafumbuaji: Ataitwa Mnasareti.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akaenda, akakaa katika mji ulioitwa Nazareti; ili litimie neno lililonenwa na manabii, Ataitwa Mnazorayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kule akakaa katika muji ulioitwa Nazareti, kusudi yatimie maneno yaliyosemwa kwa njia ya manabii: “Ataitwa mutu wa Nazareti.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akaenda, akakaa mji uliokwitwa Nazareti: illi litimie neno lililonenwa na manabii, Atakwitwa Mnazorayo.