Matthew 2:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, akawaita pamoja makuhani wakuu wote na waalimu wa sheria, akawauliza, “Kristo atazaliwa wapi?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Herode akawaita pamoja viongozi wa makuhani na walimu wa Torati, akawauliza ni wapi ambapo Al-Masihi angezaliwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akakusanya wakuu wa makuhani wote na waandishi wa watu, akatafuta habari kwao, Kristo azaliwa wapi?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Herode aliitisha mkutano wa wakuu wote wa makuhani wa Kiyahudi na walimu wa sheria. Akawauliza ni wapi ambapo Masihi angezaliwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi akawaita pamoja makuhani wakuu wote na walimu wa Sheria, akawauliza, “Kristo atazaliwa wapi?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, akawaita pamoja makuhani wakuu wote na waalimu wa sheria, akawauliza, “Kristo atazaliwa wapi?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Herode akawaita pamoja makuhani wakuu na walimu wa sheria, akawauliza ni mahali gani ambapo Kristo angezaliwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Herode akawaita pamoja viongozi wa makuhani na walimu wa Torati, akawauliza ni mahali gani ambapo Al-Masihi angezaliwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akakusanya wakuu wa makuhani wote na waandishi wa watu, akatafuta habari kwao, Kristo azaliwa wapi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, akawaita pamoja makuhani wakuu wote na waalimu wa sheria, akawauliza, “Kristo atazaliwa wapi?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawakusanya wote waliokuwa watambikaji wakuu na waandishi wa kwao akapeleleza kwao mahali, Kristo atakapozaliwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akakusanya wakuu wa makuhani wote na waandishi wa watu, akatafuta habari kwao, Kristo azaliwa wapi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akawakusanya wakubwa wote wa makuhani na walimu wa Sheria kwa kuwauliza wapi Kristo atakapozaliwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akakusanya makuhani wakuu wote na waandishi wa watu, akatafuta khabari kwao, Kristo azaliwa wapi?