Matthew 20:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale wa kwanza walipofika, walikuwa wanadhani watapewa zaidi; lakini hata wao wakapewa kila mmoja dinari moja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo wale walioajiriwa kwanza walipofika, walidhani watalipwa zaidi. Lakini kila mmoja wao pia alipokea dinari moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wale wa kwanza walipokuja, walidhani kwamba watapokea zaidi; na hao pia wakapokea kila mtu dinari.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndipo wafanyakazi walioajiriwa kwanza wakaja kupokea malipo yao. Walidhani wangelipwa zaidi ya wengine. Lakini kila mmoja wao alipokea sarafu moja ya fedha.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wale wa kwanza walipofika, walikuwa wanadhani watapewa zaidi; lakini hata wao wakapewa kila mmoja dinari moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale wa kwanza walipofika, walikuwa wanadhani watapewa zaidi; lakini hata wao wakapewa kila mmoja dinari moja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo wale walioajiriwa kwanza walipofika, walidhani watalipwa zaidi. Lakini kila mmoja wao pia alipokea dinari moja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo wale walioajiriwa kwanza walipofika, walidhani watalipwa zaidi. Lakini kila mmoja wao pia alipokea dinari moja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wale wa kwanza walipokuja, walidhani kwamba watapokea zaidi; na hao pia wakapokea kila mtu dinari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale wa kwanza walipofika, walikuwa wanadhani watapewa zaidi; lakini hata wao wakapewa kila mmoja dinari moja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipokuja wa kwanza wakadhani, ya kuwa watapokea zaidi. Lakini nao wakapokea kila mtu shilingi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wale wa kwanza walipokuja, walidhani kwamba watapokea zaidi; na hao pia wakapokea kila mtu dinari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na wale waliotangulia kuanza kazi wakakuja, wakizani kwamba watapewa zaidi. Lakini nao vilevile wakapokea kila mutu kikoroti kimoja cha feza.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na wale wa kwanza walipokuja, wakadhani watapokea zaidi; na wao pia wakapokea killa mtu dinari.