Matthew 20:15 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, sina haki ya kufanya na mali yangu nipendavyo? Je, unaona kijicho kwa kuwa mimi ni mwema?’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, sina haki ya kufanya kile nitakacho na mali yangu mwenyewe? Au unaona wivu kwa kuwa nimekuwa mkarimu?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Si halali yangu kutumia vilivyo vyangu kama nipendavyo? Au jicho lako limekuwa ovu kwa sababu ya mimi kuwa mwema?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninaweza kufanya chochote ninachotaka na pesa yangu. Wewe unao wivu na unataka kuwadhuru wengine kwa kuwa mimi ni mkarimu?’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, sina haki ya kufanya na mali yangu nipendavyo? Je, unaona kijicho kwa kuwa mimi ni mwema?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, sina haki ya kufanya na mali yangu nipendavyo? Je, unaona kijicho kwa kuwa mimi ni mwema?’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, sina haki yangu kufanya kile nitakacho na mali yangu mwenyewe? Au unaona wivu kwa kuwa nimekuwa mkarimu?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, sina haki yangu kufanya kile nitakacho na mali yangu mwenyewe? Au unaona wivu kwa kuwa nimekuwa mkarimu?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Si halali yangu kutumia vilivyo vyangu kama nipendavyo? Au jicho lako limekuwa ovu kwa sababu ya mimi kuwa mwema?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, sina haki ya kufanya na mali yangu nipendavyo? Je, unaona kijicho kwa kuwa mimi ni mwema?’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumbe sina ruhusa ya kufanya na mali yangu mwenyewe, kama nitakavyo? Au jicho lako linakuwa baya, kwa sababu mimi ni mwema?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Si halali yangu kutumia vilivyo vyangu kama nipendavyo? Au jicho lako limekuwa ovu kwa sababu ya mimi kuwa mwema?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sina haki ya kutumia mali yangu sawa ninavyotaka? Unapatwa na wivu kwa sababu mimi ni mwema?’ ”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Si halali yangu kutumia vilivyo vyangu nipendavyo? Au jicho lako ni ovn kwa sababu ya kuwa mimi mwema?