Matthew 20:2 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akapatana nao kuwalipa fedha denari moja kwa siku, kisha akawapeleka katika shamba lake la mizabibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kukubaliana na hao vibarua kuwalipa ujira wa dinari moja kwa siku, akawapeleka kwenye shamba lake la mizabibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye alipokwisha kupatana na wakulima kuwapa kutwa dinari, aliwapeleka katika shamba lake la mizabibu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Alikubaliana nao kuwa atawalipa sarafu moja ya fedha ikiwa watafanya kazi siku ile. Kisha akawapeleka kwenye shamba la mizabibu kulima.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Akapatana nao kuwalipa dinari moja kwa siku, kisha akawapeleka katika shamba lake la mizabibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akapatana nao kuwalipa fedha denari moja kwa siku, kisha akawapeleka katika shamba lake la mizabibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya kukubaliana na hao vibarua kuwalipa ujira wa dinari moja kwa siku, akawapeleka kwenye shamba lake la mizabibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya kukubaliana na hao vibarua kuwalipa ujira wa dinari moja kwa siku, akawapeleka kwenye shamba lake la mizabibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye alipokwisha kupatana na wafanya kazi kuwapa kutwa dinari, aliwapeleka katika shamba lake la mizabibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akapatana nao kuwalipa fedha denari moja kwa siku, kisha akawapeleka katika shamba lake la mizabibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokwisha patana na wakulima mchana kutwa kwa shilingi akawatuma katika mizabibu yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye alipokwisha kupatana na wakulima kuwapa kutwa dinari, aliwapeleka katika shamba lake la mizabibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akapatana na watumishi wamoja kuwalipa kila mutu kikoroti kimoja cha feza sawa na kawaida, naye akawatuma katika shamba lake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na alipokwisha kupatana na wakulima kuwapa kutwa dinari, akawapeleka katika shamba lake la mizabibu.