Matthew 20:29 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu alipokuwa anaondoka mjini Yeriko, umati wa watu ulimfuata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa na wanafunzi wake walipokuwa wakiondoka Yeriko, umati mkubwa wa watu wakamfuata.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata walipokuwa wakitoka Yeriko mkutano mkubwa wakamfuata.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu na wanafunzi wake walipokuwa wanaondoka Yeriko, umati mkubwa wa watu ulimfuata.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu alipokuwa anaondoka mjini Yeriko, umati wa watu ulimfuata.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu alipokuwa anaondoka mjini Yeriko, umati wa watu ulimfuata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati Yesu na wanafunzi wake walipokuwa wakiondoka Yeriko, umati mkubwa wa watu ulimfuata.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa na wanafunzi wake walipokuwa wakiondoka Yeriko, umati mkubwa wa watu ulimfuata.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walipokuwa wakitoka Yeriko mkutano mkubwa wakamfuata.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu alipokuwa anaondoka mjini Yeriko, umati wa watu ulimfuata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipokuwa wakotoka Yeriko, likamfuata kundi la watu wengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata walipokuwa wakitoka Yeriko mkutano mkubwa wakamfuata.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu na wanafunzi wake walipokuwa wakitoka Yeriko, kundi kubwa la watu wakamufuata.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta walipokuwa wakitoka Yeriko mkutano mkubwa wakamfuata.