Matthew 20:3 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akatoka mnamo saa tatu asubuhi, akaona watu wengine wamesimama sokoni, hawana kazi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mnamo saa tatu akatoka tena, akawakuta wengine wamesimama sokoni bila kazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatoka mnamo saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ilipofika saa tatu asubuhi mtu huyo alitoka na kwenda sokoni ambako aliwaona baadhi ya watu wamesimama na hawafanyi kazi yo yote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Akatoka mnamo saa tatu asubuhi, akaona watu wengine wamesimama sokoni, hawana kazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akatoka mnamo saa tatu asubuhi, akaona watu wengine wamesimama sokoni, hawana kazi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mnamo saa tatu akatoka tena, akawakuta wengine wamesimama sokoni bila kazi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mnamo saa tatu akatoka tena, akawakuta wengine wamesimama sokoni bila kazi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatoka mnamo saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akatoka mnamo saa tatu asubuhi, akaona watu wengine wamesimama sokoni, hawana kazi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ilipopata saa tatu, akatoka, akaona wengine waliosimama sokoni pasipo kazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatoka mnamo saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ilipokuwa saa tatu za asubui, akatoka tena akawaona watu wengine wakisimama bure kwenye nafasi ya makutano.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akatoka muamo saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi;