Matthew 20:31 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ule umati wa watu ukawakemea na kuwaambia wanyamaze. Lakini wao wakazidi kupaza sauti: “Bwana, Mwana wa Daudi, utuhurumie!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umati wa watu wakawakemea na kuwaambia wanyamaze, lakini wao wakazidi kupaza sauti wakisema, “Bwana Isa, Mwana wa Daudi, tuhurumie.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkutano wakawakaripia, wanyamaze. Lakini wao wakazidi kupaza sauti, wakisema, Uturehemu, Bwana, mwana wa Daudi!
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu waliwakemea wale wasiyeona, wakawaambia wanyamaze. Lakini waliendelea kupaza sauti zao zaidi na zaidi, “Bwana, Mwana wa Daudi, tafadhali tusaidie!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ule umati wa watu ukawakemea na kuwaambia wanyamaze. Lakini wao wakazidi kupaaza sauti: “Mheshimiwa, Mwana wa Daudi, utuhurumie!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ule umati wa watu ukawakemea na kuwaambia wanyamaze. Lakini wao wakazidi kupaza sauti: “Bwana, Mwana wa Daudi, utuhurumie!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ule umati wa watu ukawakemea na kuwaambia wanyamaze, lakini wao wakazidi kupaza sauti wakisema, “Bwana, Mwana wa Daudi, uturehemu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ule umati wa watu ukawakemea na kuwaambia wanyamaze, lakini wao wakazidi kupaza sauti, wakisema, “Bwana Isa, Mwana wa Daudi, tuhurumie.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkutano wakawakaripia, wanyamaze. Lakini wao wakazidi kupaza sauti, wakisema, Uturehemu, Bwana, mwana wa Daudi!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ule umati wa watu ukawakemea na kuwaambia wanyamaze. Lakini wao wakazidi kupaza sauti: “Bwana, Mwana wa Daudi, utuhurumie!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini watu wakawakaripia, wanyamaze. Lakini wao wakazidi kupaza sauti wakisema: Bwana, mwana wa Dawidi, tuhurumie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkutano wakawakaripia, wanyamaze. Lakini wao wakazidi kupaza sauti, wakisema, Uturehemu, Bwana, mwana wa Daudi!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kundi la watu wakawakaripia na kuwaambia wanyamaze. Lakini wale vipofu wakaendelea kulalamika kwa nguvu, wakisema: “Mwana wa Daudi, utusikilie huruma!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Makutano wakawakaripia, wanyamaze. Lakini wao wakazidi kupaaza sauti zao, wakinena, Uturehemu, Ee Bwana, mwana wa Daud!