Matthew 20:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakaenda. Huyo mwenye shamba akatoka tena mnamo saa sita na saa tisa, akafanya vivyo hivyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo basi wakaenda. “Akatoka tena mnamo saa sita na pia saa tisa akafanya vivyo hivyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatoka tena mnamo saa sita na saa kenda, akafanya vile vile.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo walikwenda kufanya kazi kwenye shamba lake la mizabibu. Ilipofika saa sita mchana na saa tisa alasiri alitoka tena. Na nyakati zote mbili aliwaajiri watu wengine waende kufanya kazi shambani mwake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wakaenda. Huyo mwenye shamba akatoka tena mnamo saa sita na saa tisa, akafanya vivyo hivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakaenda. Huyo mwenye shamba akatoka tena mnamo saa sita na saa tisa, akafanya vivyo hivyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo wakaenda. “Akatoka tena mnamo saa sita na pia saa tisa akafanya vivyo hivyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo wakaenda. “Akatoka tena mnamo saa sita na pia saa tisa akafanya vivyo hivyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatoka tena mnamo saa sita na saa tisa, akafanya vile vile.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakaenda. Huyo mwenye shamba akatoka tena mnamo saa sita na saa tisa, akafanya vivyo hivyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, wakaenda. Ilipopata saa sita na saa kenda, akatoka tena, akafanya vilevile.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatoka tena mnamo saa sita na saa kenda, akafanya vile vile.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi wakaenda. Mwenye shamba akatoka tena na saa sita, kisha na saa tisa, akafanya sawasawa mbele.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akatoka tena mnamo saa sita na saa kenda, akafanya vilevile.