Matthew 20:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakaja wale walioajiriwa mnamo saa kumi na moja, wakapokea kila mmoja fedha dinari moja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wale vibarua walioajiriwa saa kumi na moja wakaja, na kila mmoja wao akapokea dinari moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na walipokuja wale wa saa kumi na moja, walipokea kila mtu dinari.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wafanyakazi walioajiriwa saa kumi na moja jioni walipata malipo yao. Kila mfanyakazi alipata sarafu moja ya fedha.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wakaja wale walioajiriwa mnamo saa kumi na moja, wakapokea kila mmoja dinari moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakaja wale walioajiriwa mnamo saa kumi na moja, wakapokea kila mmoja fedha dinari moja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wale vibarua walioajiriwa mnamo saa kumi na moja, wakaja na kila mmoja wao akapokea dinari moja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wale vibarua walioajiriwa mnamo saa kumi na moja, wakaja na kila mmoja wao akapokea dinari moja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na walipokuja wale wa saa kumi na moja, walipokea kila mtu dinari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakaja wale walioajiriwa mnamo saa kumi na moja, wakapokea kila mmoja fedha dinari moja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaja wa saa kumi na moja, wakapokea kila mtu shilingi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na walipokuja wale wa saa kumi na moja, walipokea kila mtu dinari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale walioanza kazi na saa kumi na moja ya magaribi wakakuja, na kila mutu akapokea kikoroti kimoja cha feza.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Walipokuja wale wa saa edashara, wakapokea killa mtu dinari.