Matthew 21:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu katika ule umati wakasema, “Huyu ni nabii Yesu, kutoka Nazareti mji wa Galilaya.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale umati wa watu wakajibu, “Huyu ni Isa, yule nabii kutoka Nasiri ya Galilaya.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Makutano wakasema, Huyu ni yule nabii, Yesu, wa Nazareti ya Galilaya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kundi la watu waliomfuata Yesu wakajibu, “Huyu ni Yesu. Ni nabii kutoka katika mji wa Nazareti ulio Galilaya.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu katika ule umati wakasema, “Huyu ni nabii Yesu, kutoka Nazareti katika mkoa wa Galilaya.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu katika ule umati wakasema, “Huyu ni nabii Yesu, kutoka Nazareti mji wa Galilaya.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ule umati wa watu ukajibu, “Huyu ni Yesu, yule nabii kutoka Nazareti katika Galilaya.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ule umati wa watu ukajibu, “Huyu ni Isa, yule nabii kutoka Nasiri katika Galilaya.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Makutano wakasema, Huyu ni yule nabii, Yesu, wa Nazareti ya Galilaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu katika ule umati wakasema, “Huyu ni nabii Yesu, kutoka Nazareti mji wa Galilaya.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Makundi ya watu wakasema: Huyu ndiye mfumbuaji Yesu wa Nasareti wa Galilea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Makutano wakasema, Huyu ni yule nabii, Yesu, wa Nazareti ya Galilaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kundi la watu wakajibu: “Huyu ni nabii Yesu wa Nazareti katika Galilaya.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Makutano wakanena, Huyu ni Yesu, yule nabii wa Nazareti ya Galilaya.
Recommended Reading