Matthew 21:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu alipokuwa anarudi mjini asubuhi na mapema, aliona njaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Asubuhi na mapema, Isa alipokuwa akirudi mjini, alikuwa na njaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata asubuhi alipokuwa akienda mjini, aliona njaa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mapema asubuhi iliyofuata, Yesu alikuwa anarudi mjini Yerusalemu naye alikuwa na njaa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu alipokuwa anarudi mjini asubuhi na mapema, aliona njaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu alipokuwa anarudi mjini asubuhi na mapema, aliona njaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Asubuhi na mapema, Yesu alipokuwa akirudi mjini, alikuwa na njaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Asubuhi na mapema, Isa alipokuwa akirudi mjini, alikuwa na njaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na asubuhi alipokuwa akienda mjini, aliona njaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu alipokuwa anarudi mjini asubuhi na mapema, aliona njaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Asubuhi alipokuwa akirudi mjini akaona njaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata asubuhi alipokuwa akienda mjini, aliona njaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kesho yake asubui, Yesu alipokuwa akirudia Yerusalema, akasikia njaa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta assubuhi alipokuwa akirudi mjini, akashikwa na njaa.