Matthew 21:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akawaambia, “Nendeni hadi kijiji kilicho mbele yenu na mtamkuta punda amefungwa na mtoto wake. Wafungueni mkawalete kwangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akawaambia, “Nendeni katika kijiji kilicho mbele yenu, nanyi mtampata punda amefungwa hapo, na mwana-punda pamoja naye. Wafungueni na mniletee.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enendeni mpaka kijiji kile kinachowakabili, na mara mtaona punda amefungwa, na mwana-punda pamoja naye; wafungueni mniletee.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Aliwaambia, “Nendeni kwenye mji mtakaoweza kuuona huko. Mtakapoingia katika mji huo, mtamwona punda na mwanapunda wake. Wafungueni wote wawili, kisha waleteni kwangu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
akawaambia, “Nendeni hadi kijiji kilicho mbele yenu na mtamkuta punda amefungwa na mtoto wake. Wafungueni mkawalete kwangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akawaambia, “Nendeni hadi kijiji kilicho mbele yenu na mtamkuta punda amefungwa na mtoto wake. Wafungueni mkawalete kwangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akiwaambia, “Ingieni katika kijiji kilichoko mbele yenu, nanyi mtakuta punda amefungwa na mwana-punda pamoja naye. Wafungueni na mniletee.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akawaambia, “Nendeni katika kijiji kilichoko mbele yenu, nanyi mtamkuta punda amefungwa hapo, na mwana-punda pamoja naye. Wafungueni na mniletee.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nendeni katika kijiji kile kinachowakabili, na mara mtaona punda amefungwa, na mwanapunda pamoja naye; wafungueni mniletee.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akawaambia, “Nendeni hadi kijiji kilicho mbele yenu na mtamkuta punda amefungwa na mtoto wake. Wafungueni mkawalete kwangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akawaambia: Nendeni katika kijiji kinachowaelekea! Mara mtaona punda, amefungwa, hata mtoto wake yuko pamoja naye; mfungueni, mniletee!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enendeni mpaka kijiji kile kinachowakabili, na mara mtaona punda amefungwa, na mwana-punda pamoja naye; wafungueni mniletee.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akawaambia: “Mwende katika kijiji kinachokuwa mbele yenu. Wakati mutakapofika kule, mara moja mutaona punda amefungwa na mwana-punda akiwa pamoja naye. Muwafungue na kuwaleta.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akiwaambia, Enendeni zenu hatta kijiji kile kinachowakabili, na marra mtaona punda amefungwa, na mwana punda pamoja nae: mfungueni mkaniletee.