Matthew 21:20 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanafunzi walipouona walishangaa wakisema, “Kwa nini mtini huu umenyauka ghafla?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanafunzi wake walipoona jambo hili, wakashangaa, wakamuuliza, “Imekuwaje mtini huu kunyauka ghafula?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanafunzi walipoona, walistaajabu, wakisema, Jinsi gani mtini umenyauka mara?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wafuasi wake walipoona hili, walishangaa sana. Wakauliza, “Imekuwaje mtini ukakauka na kufa haraka hivyo?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wanafunzi walipouona walishangaa wakisema, “Kwa nini mtini huu umenyauka ghafla?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanafunzi walipouona walishangaa wakisema, “Kwa nini mtini huu umenyauka ghafla?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanafunzi wake walipoona jambo hili wakashangaa, wakamwuliza, “Imekuwaje mtini huu kunyauka ghafula?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanafunzi wake walipoona jambo hili, wakashangaa, wakamuuliza, “Imekuwaje mtini huu kunyauka ghafula?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanafunzi walipoona, walistaajabu, wakisema, Jinsi gani mtini umenyauka mara?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanafunzi walipouona walishangaa wakisema, “Kwa nini mtini huu umenyauka ghafla?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanafunzi walipoviona wakastaajabu, wakasema: Mkuyu huu umenyaukaje mara?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanafunzi walipoona, walistaajabu, wakisema, Jinsi gani mtini umenyauka mara?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanafunzi walipoona jambo hilo, wakashangaa sana na kujiuliza: “Namna gani muti huu umekauka mara moja?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wanafunzi wake walipoona, wakastaajabu, wakinena, Umenyaukaje mtini marra moja?