Matthew 21:29 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule kijana akamwambia, ‘Sitaki!’ Lakini baadaye akabadili nia, akaenda kufanya kazi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Yule mwanawe akamjibu ‘Mimi sitaenda.’ Baadaye akabadili mawazo yake akaenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akajibu akasema, Naenda, Bwana; asiende.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mwanaye akasema, ‘Siendi.’ Lakini baadaye akabadili uamuzi wake na akaenda.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yule kijana akamwambia, Sitaki! Lakini baadaye akabadili nia, akaenda kufanya kazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule kijana akamwambia, ‘Sitaki!’ Lakini baadaye akabadili nia, akaenda kufanya kazi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Yule mwanawe akamjibu ‘Mimi sitakwenda’, baadaye akabadili mawazo yake akaenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Yule mwanawe akamjibu ‘Mimi sitakwenda.’ Baadaye akabadili mawazo yake akaenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akajibu akasema, Siendi, lakini baadaye akatubu akaenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule kijana akamwambia, ‘Sitaki!’ Lakini baadaye akabadili nia, akaenda kufanya kazi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamjibu, akasema: Sitaki; lakini halafu alijuta akaenda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akajibu akasema, Naenda, Bwana; asiende.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye akamujibu: ‘Sitaki.’ Lakini kisha akageuza nia yake na kwenda kutumika.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akajibu akasema, Sitaki; baadae akatubu, akaenda.