Matthew 21:35 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale wakulima wakawakamata hao watumishi; mmoja wakampiga, mwingine wakamuua na mwingine wakampiga mawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wale wapangaji wakawakamata wale watumishi, wakampiga mmoja, wakamuua mwingine, na yule wa tatu wakampiga mawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wale wakulima wakawakamata watumwa wake, huyu wakampiga, na huyu wakamwua, na huyu wakampiga kwa mawe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini wakulima waliwakamata wale watumishi na kumpiga mmoja wao. Wakamwua mwingine na wa tatu wakampiga kwa mawe mpaka akafa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wale wakulima wakawakamata hao watumishi; mmoja wakampiga, mwingine wakamwua na mwingine wakampiga mawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale wakulima wakawakamata hao watumishi; mmoja wakampiga, mwingine wakamuua na mwingine wakampiga mawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wale wapangaji wakawakamata wale watumishi, wakampiga mmoja, wakamwua mwingine na yule wa tatu wakampiga mawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wale wapangaji wakawakamata wale watumishi, wakampiga mmoja, wakamuua mwingine, na yule wa tatu wakampiga mawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wale wakulima wakawakamata watumwa wake, huyu wakampiga, na huyu wakamwua, na huyu wakampiga kwa mawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale wakulima wakawakamata hao watumishi; mmoja wakampiga, mwingine wakamuua na mwingine wakampiga mawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wakulima wakawakamata watumwa wake, mmoja wakampiga, mmoja wakamwua, mmoja wakamtupia mawe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wale wakulima wakawakamata watumwa wake, huyu wakampiga, na huyu wakamwua, na huyu wakampiga kwa mawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wale walimaji wakawakamata wale watumishi. Wakamupiga mumoja, wakamwua mwingine na kumutupia mwingine mawe hata akakufa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wale wakulima wakawakamata watumishi wake, huyu wakampiga, na mwingine wakamwua, na mwingine wakampiga mawe.