Matthew 21:36 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyo mtu akawatuma tena watumishi wengine, wengi kuliko wa safari ya kwanza. Wale wakulima wakawatendea namna ileile.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akawatuma watumishi wengine kwao, wengi kuliko wale wa kwanza, nao wale wapangaji wakawatendea vilevile.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawatuma tena watumwa wengine wengi kuliko wa kwanza wakawatenda vile vile.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo mwenye shamba akawatuma baadhi ya watumishi wengine wengi zaidi ya aliowatuma hapo kwanza. Lakini wakulima wakawatendea kama walivyowatendea watumishi wa kwanza.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Huyo mtu akawatuma tena watumishi wengine, wengi kuliko wa safari ya kwanza. Wale wakulima wakawatendea namna ileile.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyo mtu akawatuma tena watumishi wengine, wengi kuliko wa safari ya kwanza. Wale wakulima wakawatendea namna ileile.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akawatuma kwao watumishi wengine, wengi kuliko wale wa kwanza, nao wale wapangaji wakawatendea vile vile.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akawatuma kwao watumishi wengine, wengi kuliko wale wa kwanza, nao wale wapangaji wakawatendea vilevile.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawatuma tena watumwa wengine wengi kuliko wa kwanza wakawatenda vile vile.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyo mtu akawatuma tena watumishi wengine, wengi kuliko wa safari ya kwanza. Wale wakulima wakawatendea namna ileile.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akatuma tena watumwa wengine walio wengi kuliko wa kwanza. Wakawatendea vilevile.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawatuma tena watumwa wengine wengi kuliko wa kwanza wakawatenda vile vile.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu mwenye shamba akatuma tena watumishi wengine wengi zaidi kuliko wale wa kwanza, lakini wale walimaji wakawatendea namna ile ile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akatuma tena watumishi wengine wengi kuliko wa kwanza, wakawatenda vilevile.