Matthew 21:37 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwishowe akamtuma mwanawe huku akifikiri: ‘Watamjali mwanangu.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwisho wa yote, akamtuma mwanawe kwao, akisema, ‘Watamheshimu mwanangu.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwishowe akamtuma mwanawe kwao, akisema, Watamstahi mwanangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo mwenye shamba akaamua kumtuma mwanaye kwa wakulima. Alisema, ‘Wakulima watamheshimu mwanangu.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mwishowe akamtuma mwanawe huku akifikiri: Watamheshimu mwanangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwishowe akamtuma mwanawe huku akifikiri: ‘Watamjali mwanangu.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwisho wa yote, akamtuma mwanawe kwao, akisema, ‘Watamheshimu mwanangu.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwisho wa yote, akamtuma mwanawe kwao, akisema, ‘Watamheshimu mwanangu.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwishowe akamtuma mwanawe kwao, akisema, Watamstahi mwanangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwishowe akamtuma mwanawe huku akifikiri: ‘Watamjali mwanangu.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwisho akamtuma mwanawe kwao akisema: Watamcha mwanangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwishowe akamtuma mwanawe kwao, akisema, Watamstahi mwanangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mwisho, akamutuma mwana wake kwao, akisema: ‘Ninajua kwamba watamuheshimu mwana wangu.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Baadae akamtuma mwanawe kwao, akinena, Mwana wangu watamjali.