Matthew 21:45 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Makuhani wakuu na Mafarisayo waliposikia hiyo mifano yake walitambua kwamba alikuwa anawasema wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Viongozi wa makuhani na Mafarisayo waliposikia mifano ya Isa, walitambua kuwa alikuwa akiwasema wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakuu wa makuhani na Mafarisayo, waliposikia mifano yake, walitambua ya kuwa anawanenea wao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Viongozi wa makuhani na Mafarisayo waliposikia simulizi hizi, wakajua kuwa Yesu alikuwa anawasema wao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Makuhani wakuu na Mafarisayo waliposikia hiyo mifano yake walitambua kwamba alikuwa anawasema wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Makuhani wakuu na Mafarisayo waliposikia hiyo mifano yake walitambua kwamba alikuwa anawasema wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Viongozi wa Makuhani na Mafarisayo waliposikia mifano ya Yesu, walitambua kuwa alikuwa akiwasema wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Viongozi wa Makuhani na Mafarisayo waliposikia mifano ya Isa, walitambua kuwa alikuwa akiwasema wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakuu wa makuhani na Mafarisayo, waliposikia mifano yake, walitambua ya kuwa anawanenea wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Makuhani wakuu na Mafarisayo waliposikia hiyo mifano yake walitambua kwamba alikuwa anawasema wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watambiakaji wakuu na Mafariseo walipoisikia mifano yake wakatambua, ya kuwa anawasema wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakuu wa makuhani na Mafarisayo, waliposikia mifano yake, walitambua ya kuwa anawanenea wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakubwa wa makuhani na Wafarisayo waliposikia mifano hiyo Yesu aliyoitumia, wakatambua kwamba alisema juu yao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Makuhani wakuu na Mafarisayo, waliposikia mifano yake, wakatambua ya kuwa anawanena wao.