Matthew 21:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, wale wanafunzi walikwenda wakafanya kama Yesu alivyowaagiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wanafunzi wakaenda, wakafanya kama Isa alivyokuwa amewaagiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wale wanafunzi wakaenda zao, wakafanya kama Yesu alivyowaamuru,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wafuasi walikwenda na kufanya yale walioambiwa na Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hivyo, wale wanafunzi walienda wakafanya kama Yesu alivyowaagiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, wale wanafunzi walikwenda wakafanya kama Yesu alivyowaagiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale wanafunzi wakaenda, wakafanya kama vile Yesu alivyokuwa amewaagiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wanafunzi wakaenda, wakafanya kama Isa alivyokuwa amewaagiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wale wanafunzi wakaenda zao, wakafanya kama Yesu alivyowaamuru,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, wale wanafunzi walikwenda wakafanya kama Yesu alivyowaagiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanafunzi wakaenda, wakafanya, kama Yesu alivyowaagiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wale wanafunzi wakaenda zao, wakafanya kama Yesu alivyowaamuru,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi wale wanafunzi wakaenda, nao wakafanya sawa Yesu alivyowaagiza.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wale wanafunzi wakaenda zao, wakafanya kama Yesu alivyowaamuru,