Matthew 21:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakamleta yule punda na mtoto wake, wakatandika nguo zao juu yao na Yesu akaketi juu yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamleta yule punda na mwana-punda, nao wakatandika mavazi yao juu ya hao punda, naye Isa akaketi juu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakamleta yule punda na mwana-punda, wakaweka nguo zao juu yao, naye akaketi juu yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Waliwaleta kwake punda jike na mwanapunda. Waliwafunika punda kwa nguo zao na Yesu akaketi juu yao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakamleta yule punda na mtoto wake, wakatandika nguo zao juu yao na Yesu akaketi juu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakamleta yule punda na mtoto wake, wakatandika nguo zao juu yao na Yesu akaketi juu yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamleta yule punda na mwana-punda, nao wakatandika mavazi yao juu ya hao punda na Yesu akaketi juu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamleta yule punda na mwana-punda, nao wakatandika mavazi yao juu ya hao punda, naye Isa akaketi juu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakamleta yule punda na mwanapunda, wakaweka nguo zao juu yao, naye akaketi juu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakamleta yule punda na mtoto wake, wakatandika nguo zao juu yao na Yesu akaketi juu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamleta punda na mwanawe, wakatandika nguo juu yao, kisha wakampandisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakamleta yule punda na mwana-punda, wakaweka nguo zao juu yao, naye akaketi juu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaleta punda pamoja na mwana-punda, wakatandika nguo juu yao na Yesu akaikaa juu ya nguo zile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakamleta yule punda na mwana punda, wakaweka nguo zao juu yao, wakamketisha.